Kabila hili la Wasukuma linapatikana Kanda ya Ziwa, Mkoani Mwanza Nchini Tanzania. Utamaduni wa kilimo cha ujamaa umeenea sana kanda hiyo kama uonavyo hapo. Wananchi wanashirikiana kulima.
You are welcome all the time. We also have tourism sites like Kilimanjaro Mountain, Ngorongoro creator,Serengeti, Manyara, mikumi, Selous National Park. Come and see the beautiful of our country. Peace and Tranquility is our Motto.
Zuri sanaaa❤
Kama unajua maana ya Luganda nipe like
Nitaendelea kuikumbuka hii iko vizur Sana gonga like kama tupo pamoja 2020
Tulikupenda MUNGU akakupenda zaidi tutakukumbuka daima.mbele yako nyuma yetu ombinya MUNGU akuhifadhi mahali pema peponi. Amina .
Yupo aliekufa kati yao
Bora Hawa sio wacheza vigodoro kutiharibia maadili...wasukuma mbarikiwe
Jamaa wanapiga kaz duh... Hongera
Hongereni sana wasukuma Kwa kaz
2024 I’m here
Kizi daniels amesample wimbo wake wa marhaba
I love the spirit ..had one natinal service
Apakazi tu ongera sana kabira rangu
❤ A very wonderful way to engage in a task
Tanzania is a wonderful place :,)
You are welcome all the time. We also have tourism sites like Kilimanjaro Mountain, Ngorongoro creator,Serengeti, Manyara, mikumi, Selous National Park. Come and see the beautiful of our country. Peace and Tranquility is our Motto.
Watu na tamaduni zetu bhna
Umeonaeee
Katika ngoma zenye faida hi niyakwanza
Ahenaho umunangese gushila nduhu nugunoga abhalimi
Njemu njemu njemu sosela njemu😆😆😆😆
Hahahahahaa kazi kweli
#Ngosha_KaZ_kAZ
mhola yaseba
Unapoambiwa msukuma usidhani mchezo mchezo tu.
Unaweza sema nilahisi lakini nikazi sana ila wanaume na kazi yetu,tulagi milemo
Anayesema maisha magumu huyo ni cha uvivu. mtaji wa kijana ni nguvu na misuli yake
.... mpaka wote wakamilike
😍❤
Kaji bhanamalaaaaa
Makajiiii
wakimaliza wanaenda Kwa mwingine kumlimia
Yes, ni Kilimo cha ujamaa
Yes, ni Kilimo cha ujamaa
Aisee mlishoot wapi hiyo? Natamani nikafanye Documentary kabisa
Wakitoka hapo mlima wa ugali ni wa nguvu. Chezea Sukuma wewe
Unaanzaje kuchoka kwa mfano .
Peleka studio hizo video ili zikafanziwe editing...
shida sana wanikumbusha mbari sana ad raaaa
Aaaah tutaharibu uhalisia ndugu
Nulungisuta
i
Eeeee hapo sasa
Isack Pius anaitwa ombinya
Wambinya Enzo make kwa sasa ni kwenye kit kijiji cha lain huko simiyu